Saturday, 12 October 2013

Shukrani wadau

Ndugu wateja,
Kampuni ya Super Feo Express inayosafirisha abiria Kati ya Dar es salaam na Songea, inawashuru wateja wake wote kwa kuendelea kuwa nasi wakati wote.

Super Feo inawaahidi kuwa itaendelea kuboresha huduma zake, ikiwa ni pamoja na kuwa na mabasi mapya na ya uhakika kila wakati, kuwahudumia vizuri wananchi kuwa ucheshi na bashasha na wakati wote endapo kuna jambo halikwenda sawa taarifa ipelekwe ofisini na hatua zitachukuliwa mara.

Karibu Super Feo