Saturday, 12 October 2013

Shukrani wadau

Ndugu wateja,
Kampuni ya Super Feo Express inayosafirisha abiria Kati ya Dar es salaam na Songea, inawashuru wateja wake wote kwa kuendelea kuwa nasi wakati wote.

Super Feo inawaahidi kuwa itaendelea kuboresha huduma zake, ikiwa ni pamoja na kuwa na mabasi mapya na ya uhakika kila wakati, kuwahudumia vizuri wananchi kuwa ucheshi na bashasha na wakati wote endapo kuna jambo halikwenda sawa taarifa ipelekwe ofisini na hatua zitachukuliwa mara.

Karibu Super Feo



Tuesday, 25 June 2013

UZINDUZI WA SAFARI YA MBINGA DAR ES SALAAM KILA SIKU

Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga,  Bw.Idd Mponda akikata utepe jana kuashiria uzinduzi rasmi wa Safari za Mbinga -Dar -Mbinga kuanzia leo Juni 12, 2013.

Mkurugenzi wa Superfeo Express , Bw. Omary Msigwa (wa tatu kushoto)  washiriki wa hafla hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma, Bw. Oddo Mwisho, (wa kwanza  kushoto) wakishangilia tukio hilo la kihistoria jana wilaya ya Mbinga na mkoani Ruvuma kwa ujumla.

HUU NDIO USAFIRI WA MBINGA - DAR ES SALAAM BAADA YA BARABARA KUKAMILIKA KIWANGO CHA LAMI

BAADA YA KUKAMILIKA KWA BARABARA KIWANGO CHA LAMI SONGEA HADI MBINGA SUPER FEO WAJIKITA KIBIASHARA: