Wapiganaji wa Dola ya Kiislamu Syria IS,
wameuawa kwa kuwekewa chakula chenye sumu ambapo wapishi wa chakula
hicho wametajwa kushirikiana na kikosi cha Syrian Free Army.
Mashuhuda wamesema wamewaona wapiganaji
kumi na watano wakiwa wanakimbizwa Hospitali ya jirani huku wapishi hao
wakikimbia na familia zao kutoka kambi ya Fath El-Sahel baada ya tukio
hilo.
No comments:
Post a Comment