Ni Basi la Wibonela Express linalofanya safari zake kati ya Kahama – Dar ambalo lilipinduka baada ya kutoka stand kuu ya kahama kilometa chache toka stand hiyo kwenye eneo la Phantom ambapo taarifa kutoka Polisi zinasema waliofariki ni watu wanne.
Taarifa za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.
No comments:
Post a Comment