Kampuni
iliyokua ikioparate helicopter ya Polisi Scotland ambayo imeanguka
kwenye baa moja huko Glasgow na kuua watu kumi, imeanza kufanya malipo
kwa waathirika na familia zao huku wakisema ‘The interim payments are
intended to cover loss of salary while full compensation is agreed’
Tumezoea
bongo matukio ya ajali yakitokea huwa mara nyingi tunaambiwa tusubiri
chanzo alafu stori ndio inapotea, sasa sio bongo tu manake hata kwenye
hii ajali ya November 29 2013 bado chanzo hakijajulikana.
No comments:
Post a Comment