Dereva
wa basi la kampuni ya Taqwa linalofanya safari kati ya Tanzania na
Burundi amekufa papo hapo na abiri wengine zaidi ya 10 kujeruhiwa
vibaya baada ya basi hilo kugongana uso kwa uso na lori .
Mwandishi
wetu mtandao huu wa matukiodaima.com kutoka Tabora Bw Wiliam Bundara
anaripoti kuwa ajali hiyo imetokea mchana wa leo
Amesema kuwa
ajali hiyo imetokea wilayani Nzega mkoani Tabora na kuwa jitihada za
kuwakimbiza Hospital majeruhi wa ajali hiyo zinafanyika |
No comments:
Post a Comment