Friday 10 October 2014

BREAKING: Uliwahi kusikia kuhusu huyu mtu aliyewaua Wanawake mbalimbali kwa risasi Arusha?

Breaking Uliwahi kusikia zile stori za Arusha kwamba Wanawake wanauwawa hovyo kwa risasi wakiwa kwenye magari yao nje ya mageiti ya nyumba na sehemu nyingine? uliwahi kusikia kuhusu wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji hayo? uliwahi kusoma taarifa kwamba ni mauaji mpya yanayochukua kasi Arusha? kama ndio… basi Polisi wametoa taarifa ifuatayo.
Imeripotiwa na Radio One Breaking News inasema >>> ‘ Mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Ramadhan Abdallah Jumanne ambae amekua akiwaua kwa kuwapiga risasi Wanawake mbalimbali jijini Arusha, ameuwawa katika mapambano ya kurushiana risasi na Polisi’

No comments: