Kuna vyanzo vinavyodai kuwa Lupita Nyong’o na Michael Fassbender ni wapenzi na kwamba wako tayari kutulia na kuwa na uhusiano serious wa kimapenzi. Inasemekana kuwa wote wamekuwa na uhusiano kwa miezi sasa.
Thursday, 6 March 2014
HUYU NDIYE MCHUMBA WA LUPITA NYONG'O...!! TAZAMA HAPA..!
Kuna vyanzo vinavyodai kuwa Lupita Nyong’o na Michael Fassbender ni wapenzi na kwamba wako tayari kutulia na kuwa na uhusiano serious wa kimapenzi. Inasemekana kuwa wote wamekuwa na uhusiano kwa miezi sasa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment