Monday, 13 January 2014

BARABARA YA KIFO - BOLIVIA

BARA BARA HATARI ZAIDI DUNIANI













Ni moja ya barabara ya hatari kuliko zote duniani. Hakuna cha Kitonga, Sekenke wala Lukumburu zote cha mtoto tu...

Sunday, 12 January 2014

STENDI KUU SONGEA IKINYESHA MVUA MBINU MBADALA HUTUMIKA

Kutokana na ukata wa maisha jamaa kaamua kuvaa plastic bag ktk miguu,yake ili tu kiatu chake kisichafuke,na kutokana na mvua ilonyesha, asb ya tarehe 11 asbh, stand kuu ya mabasi Songea haikuwa rafiki kabisa, kwa kusheheni tope kama zizi la ng'ombe.

TUNAAGIZA MAGARI YETU MOJA KWA MOJA TOKA CHINA


       YUTONG YA SUPER FEO IKIWA INAMALIZIWA UJENZI KABLA YA KUPANDA MELI     
                                                                KUJA TANZANIA
RANGI PAMOJA NA JINA VYOTE VINAFANYIKA WILAYANI GUANCHENG ZHENGZHOU CHINA CHEZEA SISI WEWE HAKUNA KUGONGA BODI WALA KUAGIZIWA WALA KUTUMIA RANGI ZA NYUMBA TUNAENDA WENYEWE JIKONI

YUTONG ZA KWANZA KUJA SONGEA UNAZIKUMBUKA?


BARA BARA IMEZIBWA NA ROLI

Kwa safari za Dar kwenda Songea hatuna  mpinzani sisi ndio wamiliki wakuu wa root hii kwa basi zetu za Yutong ambazo ni Luxury kwa safari za kila siku ambapo basi zaidi ya sita huenda na nyingine idadi hiyo hurudi.

STENDI KUU SONGEA

MADEREVA MAKINI NA WAZOEFU

                                                           ALLY CHIKOKO KAZINI

BASI PEKEE LENYE TV KILA SITI LINAPATIKANA SUPER FEO


WENYEWE TUNALIITA SHARO BARO KWAKUA UNAWEZA KUSIKILIZA MUZIKI AU FILAMU YAKO UNAYOTAKA BILA KUWASHIRIKISHA WENZAKO UKIWA KATIKA BASI HILI

KITUO CHETU CHA MATENGENEZO SONGEA

                                WANYAMA WANASUBIRI KUFANYIWA MATENGENEZO

Saturday, 12 October 2013

Shukrani wadau

Ndugu wateja,
Kampuni ya Super Feo Express inayosafirisha abiria Kati ya Dar es salaam na Songea, inawashuru wateja wake wote kwa kuendelea kuwa nasi wakati wote.

Super Feo inawaahidi kuwa itaendelea kuboresha huduma zake, ikiwa ni pamoja na kuwa na mabasi mapya na ya uhakika kila wakati, kuwahudumia vizuri wananchi kuwa ucheshi na bashasha na wakati wote endapo kuna jambo halikwenda sawa taarifa ipelekwe ofisini na hatua zitachukuliwa mara.

Karibu Super Feo