Friday 5 September 2014

AJALI MBAYA MUSOMA


 Mabasi hayo yakiwa yamegongana 






Basi la Jumanne lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma. Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma.  Endelea kufuatili

No comments: